“MSIIPIGE VITA UNITED, ” GIGGS AWASIHI MASHABIKI.

Wanasema wenyewe kwamba kila mwamba ngoma huvutia kwake.Nasema hivi maanake aliyekuwa kiungo mshambulizi wa Manchester United , Ryan Giggs ameibuka kimasomaso na kuwasihi mashabiki wa klabu ya Manchester United kutompiga vita mkufunzi Jose Mourinho. Ifahamike bayana kuwa , mwalimu huyo kwa sasa yupo chini ya shinikizo babu kubwa baada ya kuandikisha matokeo ovyo dhidi ya... Continue Reading →

Advertisements

LUCAS TERREIRA ANATUA ARSENAL,MSIMU KESHO KITAELEWEKA AISEE!

Wanasema wenyewe kwamba iwapo unataka kushamiri katika ulimwengu wa kabumbu,basi lazima ujinoe kote kote.Nasema hivi kwamba lazima uwe na wachezaji ambao wana  tajriba ya kiutu uzima na ambao kwao utategemea kuandikisha matokeo ya kufurahisha macho hata masikio.Basi hali sio tofauti katika kambi ya Emirates maanake ,  klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imefanikisha... Continue Reading →

Black and white photography

We live and have evolved in a world of colour. People gravitate to colour photography, just like a child to candy, attracted to images with Disney-like vibrancy. But why not try something new, like the timeless duo; black and white. Black and White adds a timeless, fine sense of simplicity and elegancy. Furthermore, it makes... Continue Reading →

Harry Kane ataja sababu kubwa kwake kushinda taji la mfungaji bora

Nahodha wa timu ya taifa Uingereza Harry Kane ambaye pia anakipiga na miamba Tottenham Hostspurs ,alionekana kuwa mwenye furaha si haba baada yake kushinda taji la mfungaji bora katika michuano ya kipute cha kombe la duniani kilichoandaliwa nchini Urusi kwa mara ya kwanza.Hata hivyo,mshambulizi huyo matata kwa kiwango kikubwa aliwapongeza wachezaji wenza kwa kile alichokitaja... Continue Reading →

LUCAS TERREIRA ANATUA ARSENAL,MSIMU KESHO KITAELEWEKA AISEE!

Wanasema wenyewe kwamba iwapo unataka kushamiri katika ulimwengu wa kabumbu,basi lazima ujinoe kote kote.Nasema hivi kwamba lazima uwe na wachezaji ambao wana tajriba ya kiutu uzima na ambao kwao utategemea kuandikisha matokeo ya kufurahisha macho hata masikio.Basi hali sio tofauti katika kambi ya Emirates maanake , klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imefanikisha... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: